NDEGE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI IMEKAMILIKA INA UREFU WA UWANJA WA MPIRA ICHEKI HAPA

Ni Airlander 10 imegharimu miaka mitatu mpaka kukamilika kwake,ndege hiyo inaurefu sawa na uwanja wa mpira yaani mita 100,lakinipia inauwezo wa kubeba hadi tani 10 za mizigo,kwa mujibu wa  Kampuni inayotengeneza ndege hiyo wanadai kwamba Airlander ndio ndege bora zaidi kwakua haina kelele na tena inauwezo wa kushuka kama Helikopta tofauti na Aeroplane.
Airlander ina thamani ya dollar bilion 1 za kimarekani kwa ufupi ni jumla ya utajiri wa Mohamed Dewji (MO) na itafanyiwa majaribio mweziwa tatu mwaka huu.
Hii ni sehemu ya Engine

MAFUNDI KAZINI
USIACHE KUSHEA NA WANA
Labels:

Post a Comment

[blogger]

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.